Meditate with Peter Vigne

Katika tukio la kuadhimisha karne tatu tangu kuanzihwa kwa shirika letu tarehe 30 novemba 1715 huko Boucieu-le-Roi Ufaransa, tunataka kuwashirikisha baadhi ya maneno yaliyoandikwa na baba Vigne, katika kitabu alichotuachia ili kusisimua maisha ya kikristu ya masista na ya yeyote aliyebatizwa.

Hazina hii iliyoshirikishanishwa izalishe tena idadi kubwa ya matunda ya uhai, ya imani, ya matumaini, na mapendo !

 en tresorpartage